Tuesday, January 29, 2013

Curtain Designs.....


 Design hizi zote zinapatikana Homez Deco, Hizi  ni design za curtain box.
Karibuni sana.......

Wasiliana nasi kwa design uliyoipenda. na tutakushonea......

1 comment:

  1. Mambo mamy,
    Hongera kwa kazi nzuri. Vipi curtain poles za chuma (zisizopinda kabisa) zinapatikana? Kwa kiasi gani cha fedha?

    Halafu what dou provide kwenye kuweka mapazia. Ni kuanzaia mapazia, poles, na kuyashona? Nahitaji kuhamia nyumba mpya in April lakini sijaandaa hivyo vitu.

    ReplyDelete