Wednesday, January 2, 2013

Kairbu 2013.....


Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wadau/wateja ndugu jamaa na marafiki etc. popote mlipo....

Mwaka jana 2012 ulikua wenye mafanikio kwangu na namshukuru mungu kwa hili na mema yote aliyonitendea mimi na familia yangu.

Mwaka huu 2013 Homez Deco tumejipanga, kwa kuweza kuwaletea huduma zaidi, na team ya wafanyakazi pia  inaendelea kukua.

Tutaendelea kuwaletea vitu vizuri na vipya kama kawaida yetu....

Nawatakia kila la kheri katika mwaka huu, na mipango na malengo mliyoyapanga yaweze kua kama mlivyopanga tukiongozwa na mungu wetu.....

No comments:

Post a Comment