Tuesday, January 15, 2013

Simple bathroom
Hili bafu ni dogo, lakini jinsi lilivyo pangwa kwa mpangilio....linapendeza.....Ninachoweza kusema ni kua, kwa wewe ulie na sehemu ndogo, nikiwa na maana bafu ni dogo, usilidharau. Liweke katika mpangilio mzuri na usijaze mavitu, ukifikiri kua ndio kulipamba ama kuliweka vizuri.


Bafu ulilonalo, liweke katika mpangilio mzuri, paka rangi ang'aavu, nikiwa na maana ya kua paka rangi ambazo ni light kulifanya bafu kua kubwa, na linye mwanga....weka taa yenye mwanga, na hata mapambo pia yawe ang'aavu......

kumbuka ukiweka vitu vyenye giza, basi hufanya sehemu kua ndogo...

No comments:

Post a Comment