Monday, January 14, 2013

Inawezekana kwa hapa kwetu Tanzania kua na mzingira mazuri......
Picha zote hapo juu ni baadhi ya sehemu mji wa Florida USA, shukrani kwa MRS. Jossyanne George- Proffessional Landscaper

Mimi binafsi napenda kujifunza kila niwezavyo mbinu mbali mbali,za kupanda miti, maua majani     watanzania wenzangu tuyapende mazingira tunayoishi , siyo unaishi kwenye malundo ya uchafu mtaa mchafu ukiuliza siyo nyumba yangu ila wewe ndio unayevuta hewa chafu, magonjwa yakija yanakushambulia wewe na wanaokuzunguka. hasara ni ya nani wewe mpangaji au mwenye nyumba.

 Tubaadilike kitabia  please  make this one of your new year resolutions,   so we can have, clean nice community.and clean country together yes we can do it. 

 It's not always what government can do for you,  but what you can do for yourr street, towns homes, working palaces, ect.  Naami siku zote tukishirikiana tuna weza  umoja ni nguvu. siku zote.

Katika mji wetu wa Dar, hali ya hewa haitofautiani ya Florida USA,  Hii inanionyesha wazi, wazi wenzetu mazingira wameyapa kipaumbele sana, iwe ni small, towns big cities   wanayalinda namazingira yao na kujatunza vyema ,wana special budgets, kwa ajili ya gardens na pia wanatoa tenders zao kwa wanataaluma, ya mazingira gardening and landscapings .  Watanzania wenzangu iwe changamoto kwa kila mmoja wetu tuipendezeshe nchi yetu. ni jukumu letu sisi wote.
 

No comments:

Post a Comment