Tuesday, January 29, 2013

Homez Deco sasa ni wakala halali wa Dulux Paints...... Homez Deco inayo furaha kuwafahamisha kwamba, tumechaguliwa kua wakala wa Dulux Paints....Nianwashukuru sana wadau wangu wote, kwani mafanikio haya yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na ninyi.....

Hizi ni rangi za ndani, na  nje... ambazo zina ubora wa hali ya juu, na pia zimetengenezwa mahususi, kwa kubana matumizi mengi ya rangi...nikiwa na maana ya kwamba, mahali pa kutumia ndoo 5 wewe utatumia ndoo 3.Utumiapo rangi hizi, matumizi yake ni madogo, na zina ubora wa hali ya juu, kwa upande wa finnishing, na zina ubora wa miaka 8 tokea umepaka ukutani, Hazi pauki, hazi fifii.....

Hapo juu ni baadhi ya rangi za dulux zilizotumika kwenye baadhi ya vyumba.....Hizi ni sample za rangi, ambapo zina shades, zaidi ya 1000.....na zimepangwa kwa groups tofauti tofauti....na zikiwa na codes zake, kwa maana ya kwamba ina kua ni rahisi kwa kutengeneza na kuto kuchukua muda mrefu kupata rangi uliyo itaka wakati wa utengenezaji wake....Tunakukaribisha katika ulimwengu wa rangi za Dulux, na uone mabadiliko.....

Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wangu wote waliotumia rangi za dulux....na ninawakaribisha wote katika ulimwengu wa Dulux Paints mjionee mabadiliko, na ubora wa rangi hizi....

Homez Deco tunakuja kwenye site yako unayohitaji upakiwe rangi, na tutakushauri, na kukufanyia mahesabu ya rangi kiasi ngapi zitahitajika...

Lakini pia unaweza ukatupatia nyumba/ofisi yako ina square meter ngapi, na tutakufanyia hesabu na kukuambia ni rangi kiasi gani utahitaji....

Kwa watu wa mikoani, mnakaribishwa pia....kwani rangi zitatumwa kwenye mikoa yenu....


Kwa mawasiliano nasi, simu: 0713 - 920565, email: sylvianamoyo@yahoo.com

Karibuni....No comments:

Post a Comment