Thursday, January 10, 2013

Chumba kimoja muonekano tofauti.... Picha hizi mbili za kwanza hapo juu ni chumba cha kulala kama kinavyoonekana, muonekano wa chumba hiki uko mara mbili, kilichofanyika ni kubalisha badhi ya vitu na chumba kuonekana kimebadilika....katika hapa, chumba kimebalishwa rangi, kabati na mashuka.....na kama unavyojionea.....muonekano ni tofauti kulingana na picha ya kwanza.....Usiwe na wasiwasi, hata chumba chako unaweza kukibadilisha tena kwa gharama nafuu mno...na ukaendelea kukipenda chumba chako....maana kinachotufanya tuchoke vyumba/nyumba zetu hua hatubadilishi muonekano, kama ni furnitures, rangi za ukuta, etc......Mwaka mpya na mambo mapya....badilisha muonekano wa chumba/nyumba yako kwa gharama nafuu, na utaendelea kuipenda nyumba yako.


Hili ni jiko kama linavyoonekana, limebadilishwa rangi mara 5, nani jiko hilo hilo moja.  Hivi unajisikiaje unavyokua na ratiba ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako ama chumba chako mara kwa mara kadri ya uwezo wako. nikisema hivi nina maana ya kua unaweza ukawa unapaka rangi mara 2 ama 3 kwa mwaka, ama kubadilisha furnitures, kubadilisha mpangilio etc....

Mabadiliko yaanza na wewe mwenyewe, na ndio wengine tunakua wafuasi....


Karibu sana k

No comments:

Post a Comment