Friday, May 18, 2012

Pazia........Umezipenda....... Tuwasiliane.....









Nawatakia weekend njema....

7 comments:

  1. Hi, mambo? jamani mimi nimevutiwa na hizo pazia za rangi ya blue na nyeupe, ni nzuri sana. je naweza kupata kwa kiasi gani? na je naweza kupata rangi nyingine tofauti? nitashukuru nikijibiwa

    ReplyDelete
  2. Mie nimependa mapazia naomba uniwekee bei kwa kila moja ni sh ngapi nimependezewa na hiyo ya kwanza.Ahsante.ummy

    ReplyDelete
  3. Silyvia, mimi nina swali hivi ni kitu gani kinachotakiwa kumatch kwenye living room? ni makochi na rangi ya ukuta? au mapazia na ukuta? au vyote? kama hizi picha naona mapazia yamefanana na rangi za ukuta, ila sijajua vitu vingine humo ndani vinarangi gani. mimi binafsi nyumbani kwangu mapazia yamefana na makochi, ni rangi ya brown, ila ukuta ni rangi ya cream sijui kama nimepatia au nimechekesha. lol

    ReplyDelete
  4. Habari mdau wa kwanza, kuhusu pazia, tunashona kwa shs. 85,000/- kwa dirisha 1, ila sasa design hii itakaa vizuri kwenye curtain box.

    hatu deal na materials, yaani vitambaa, ni vyako, ila tutakuja kuima nyumbani kwako, na kukuambia ni mita ngapi zinahitajika. then tukishona tutakuja kufuzifunga sie.

    karibu.....

    ReplyDelete
  5. hi mdau wa pili, bie kwenye pazia ya kwanza ni 120,000., la pili ni 100,000/- na ya tatu naya nne ni tunashona kwa square metre, ya mwisho ni 85,000/- vitambaa unakuja navyo. bei zetu ni kupima, kushona na kufunga. karibu

    ReplyDelete
  6. Hi mdau wa tatu, living room inatakiwa kila kitu kiendane, kuanzia sofa, carpet, rangi ya ukuta, accessories, taa pia iwe inatoa mwanga unaofaa/kuhitajika, pazia etc.

    kwa wewe haujachekesha kwani so far uko kwenye neutral colors, ila sasa sijajua ni brown gani ambayo umeitumia, iliyokoza ama iliyopoa.... na je ni pazia ama sofa zina maua ama marembo, ikiwezekana naomba nitumie picha kwenye email ama nialike kwako nikushauri zaidi.

    ReplyDelete
  7. Asante sana, nikipata muda nitakualika kwangu uje upaone.

    ReplyDelete