Monday, May 28, 2012

Apenda ipi wewe...........(http://www.homezdeco.co.tz)
Habari za weekend, kwangu ilikua safi, busy kweli kweli, mie hua sina likizo, weekend, holiday etc....... na ninafuraha sana sana.........
Angalia design kati ya hizi uliyoipenda, na kulingana na sink lako la jikoni lilivyo, na waweza kutengeneza kwa fundi aliye karibu nawe......
Rack hizi husaidia sana sana, kua msafi, na dasta za jikoni ama makosheo kuto toa harufu,, na jiko kua safi muda wote. Kumbuka mahali hapa ndipo chakula hutayarishwa na kupikwa, sasa kila kitu kinatakiwa kua kisafi.......kuepuka magonjwa........

nawatakia siku njema.........

2 comments:

 1. Hongera sana Dada kweli nakupongeza kwa kazi unayoifanya yaani sio mchoyo wa vitu vizuri , kweli nimependa sana izo picha.
  Mungu bariki kazi ya mikono yake.

  ReplyDelete
 2. Hicho kimekaa vizuri Sylivia , asante kwa maujuzi.

  Je nawewe unatengeneza hivyo?

  Ni mie mteja wako wa Mikocheni wa kitanda cha chuma

  ReplyDelete