Tuesday, May 22, 2012

Mrs. Jossyanne & Me.....(Landscaping & Gardening)

Thanks, Jossyanne kwa zawadi, ni perfume ya Jordin Sparke........ni nzuri mno..... mzigo ndio umeingia, kuna vaseline tubes, hizi za safari hii zimeongezwa cocoa ziko 3...... kuna equate cocoa butter family size.... (natumia hizi products.....ni nzuri mnoooo)

Jamani kama nimenenepa vile........ hahahhaha....hahhahha... ngoja nianze mazoezi, maana nikichekea unene nitavua mabua.......
Mrs. Jossyanne yuko, naomba tumtumie, maana hua akikaribia kuondoka ndio utakuta tunatafutana, safari hii yuko kwa muda wa miezi 3 hapa TZ.... Kwa wote wale wenye maswali ya landscaing & Gardening tuwasiliane, na tutapanga kuja kwako na kutoa ushauri....
kwa wale wa mikoani, tuwasiliane kwa simu.........YUKO NCHINI TUMTUMIEKWA USHAURI, NA KUFANYIWA KAZI KABLA HAJAONDOKA.....

5 comments:

 1. Mama J je hizo products za Vaseline zinapatikana dukani kwako au tunazipataje?

  ReplyDelete
 2. mambo mdau, hizi products zinapatikana hapa dukani kwangu kinondoni, kama utahitaji pia tutakuletea mpaka town kwa hapa dar, na kama uko mkoani tutakutumia baada ya kutumia baada ya kututumia hela kwa tigo pesa..... karibu

  ReplyDelete
 3. Products hizi zote zinapatikana dukani kwangu, na bei ni kama ifuatavyo:

  vaseline tube ni tshs. 30,000/-
  cocoa butter equate tshs. 60,000/- hii ni family size,

  karibuni....

  ReplyDelete
 4. my dear, hata kwa ngozi yenye mafuta itafaa pia?maana sie wengine ngozi utafikiri zimemwagiwa mafuta!!!

  ReplyDelete