Thursday, March 22, 2012

Uploading photos

Tunapenda kuwaomba radhi ndugu wadau, kwa kua tuna tatizo la ku upload pictures kwenye blog yetu, Tatizo hili tunalifanyia kazi baada ya kua storage ya blog tuliyopewa imejaa, sasa tumeshafuata process zote za kuongeza storage.

Kilichobaki ni kusubiria tu watu update and we will back on track...

Tunawaomba mtuvumilie kwa hilo.

Tunawatakia kila kheri katika kazi za kujenga taifa na familia zetu kwa ujumla....

Tuesday, March 20, 2012

mazingira yakitunzwa na kuhifadhiwa yanapendeza popote pale,

Tuyapende mazingira tunayoishi na kuwayeka ktk hali ya usafi hili ni jukumu la kila mwanajamii, siyo
 jukumu la serikali wala serikali za mitaa pekee, kwani milipuko ya magonjwa ambayo inatokana na uchafu malundo ya taka mitaani, huwaga milipuko ya magonjwa ikilipuki ktk majengo au ofisi za serikali ni kwa nyinyi wanajamii,wenzengu mnaopata maafa, kila mmoja wetu anajukumu la kulinda mazingira yanayomzunguka
iwe majumbani sehemu za biashara , kwenye migahawa, na maofsini usafi upewe kipaumbele ktk jamii yetu
wanajamii yetu,

Nawa mikono mara kwa mara, ukikohoa ziba mdomo wako na handchief au lesso cover up yr cough, maana wengine akihoa inakuwa nikero kuna magonjwa ambayo ukikohoa huna yanaambukiza na wengine TB kifuu kikuu,enfluenza,na tujifunze ustaarabu na maadili ambayo siku zote yatasadia jamii yetu.

Kuna hii tabia ya baadhi ya wanaume kukojoa hovyo kando ya barabarani kwenye ukuta ni tabia mbaya sana ambayo inatakiwa ikemewe iweje wanyama kama paka ajisitiri ambayo hanakili kama za mwanadamu nyinyi baadhi ya  wanaume wenye akili timamu mshindwe kujisitiri,(IJULIKANE NI BAADHI YA WANAUME WENYE TABIA YA KUKOJOA HOVYO BARABARANI SIO WOTE)  najuwa kuna ambao watasema nimetoka nje ya topic no haya yote ni mazingira hatakupiga makelele bila sababu za msingi haitakiwi, miziki ya sauti za juu kwenye mabar , kwenye vyombo vya usafiri ni maudhi siyo sifa,

Kuna baadhi ya maeno ya jiji hasa magomeni ni kero jamani siku za week end ni kero kumbi zinapiga miziki mpaka asubuhi ni maudhi maudhi ili suala lishuhulikiwe, kikamilifu, mitaani kukiwa na shuhuli ndio kabisaa, kelele unaweza ukawa na shughuli mtaani mkafurahia mpka mkajirusha mpka saa fulani mkafunga miziki au makendelea ila kwa sauti ya chini, ila walio wengi wenu ukiishakuwa na shughuli basi, mpka mtaa wa kumi wajua, mjifunze kujali, na kuthamini majirani, zenu hayo yote ni mazingira punguzeni miziki, mabaar restaurants kwenye public transports ni kero kero siyo sifa, starehe zenu isiwe shida kwa wengine, nadhani mumenielewa mpka hapo tusitaarabike maana ustaraabu haununuliwi dukani,
muungwana ni vitendo siko zote. na si maneno tuu hayo yote ni mazingira,asanteni

From Jossyanne - USA

Unalifikiriaje juu ya hili?

Nimekua nimekua nikitoa masomo ya kila mahali ya ndani na nje ya nyumba ama ofisi zetu... Ila sasa leo hebu tuzungumzie milango yetu....

Nikisema milango, ni mlango ulio nao wa nyumbani kwako. je mlango wako huo ulitumia vigezo gani mpaka ukafika hapo nyumbani kwako unapokaa?

Na je umetumia mbao, alluminium, ama aina gani ya mlango ambao unautumia?

Umekaa nao muda gani? (uimara wake, na uzuri wake)

Hebu tusaidiane katika hili.........

Vitanda vya chuma...(swali kutoka kwa mdau)

Habari!Kitanda hapo juu ni kizuri sana na kipo simple! Kwakweli unajitahidi Mungu Aendelee kukusimamia.Swali langu ni je,inapendeza kitanda cha chuma kukiweka masterbedroom au ni kwa chumba cha kawaida tu?Pili naomba utusaidie design za dining table za mbao na bei zake.Asante.

Naomba kujibu kama ifuatavyo:
Vitanda havichagui chumba, ukiweka chumba chochote kile kinakubali, sasa usiwe na wasi wasi kitapendeza hata ukiweka chumba chako cha master bedroom

Monday, March 19, 2012

Jikoni, Bafuni Chumba cha kusomea na Chumba cha kuchezea watoto...

Jikoni...
Chumba hiki kinahitaji kua na mwanga wa kutosha kulingana na ukubwa wa jiko. Unaweza kuweka taa zaidi ya moja kwani husaidia jiko kua safi, usalama etc. Naomba ijulikane kua chumba hiki kina vitu vya hatari kama jiko, fridge etc.. sasa basi ukiweka taa za kwenye dari, za ukutani zitakusaidia sana kutoa mwanga unaohitajika na uta akisi rangi ya ukutani na vyombo vyako ambapo utapata muonekano mzuri.

Chumba cha kusomea/home office:
Chumba hiki mwanga ni muhimu, kumbuka ni sehemu ya kusomea na kuandika etc. Sasa mwanga hafifu utaweza kuharibu macho yako. Kama chumba chako hiki ni kikubwa na deski imewekwa katikati ya chumba, basi socket ya umeme inahitajika kuwekwa level ya sakaru, kwa juu kidogo ili kusaidia kutokua na nyaya nyingi na zinakua na mpangilio.

Mwangaza katikati ya desk husaidia kufanya chumba kidogo kuonekana kikubwa.

Bafuni..
Hapa kunahitaji mwanga zaidi ambao utakuwezesha kuona vizuri, lakini pia mwangaza huo unahitaji kua sawa yaani ukitaka unaweza  kupunguza ama kuongeza, maana siku hizi tunajenga mabafu mazuri ya kisasa, ambayo unaweza kupumzika pia. Hii ni kwa  mara chache inatokana na kuhusishwa na mwanga ama sakafu ambazo zimewekwa kwa usadi na kwa mpangilio mzuri na huonyesha umaridadi wake.

Chumba cha kuchezea watoto:
Chumba hiki kinahitaji usalama zaidi, taa ziwe ni za juu ama ukutani, kusiwe na mrundikano wa vitu, weka taa ambazo mwanga wake unaweza kuupunguza, kuto kuweka vitu sakafuni ambavyo ni hatarishi. bila kusahau mapazia, pia yanatakiwa kua yanafungwa vizuri, kuzuia watoto kuchezea maana yanaweza kudondokea watoto.

Mwisho wa Topic ya taa....

Thursday, March 15, 2012

In Dinning Room & Bedroom.....(Kutokana na maombi ya wengi, sasa mada zetu kwa asilimia kubwa zitakua ni kiswahili.....Tunawashukuru wadau wetu kuwa kuwa nasi na kutuambia ni lugha gani itumike, nasi tuko hapa kwa ajili yenu... kuna lolote pls msisite kutuambia.. sote tunajifunza)

Chumba cha kulia chakula:
Chumba hiki kinahitajika kua na mwangaza wa wastani. Taa za ukutani, taa za picha(urembo) za ukutani na taa za mezani ni chaguo lako.  Unaweza ukapata mwanga wa kutosha kuzunguka meza kwa kutumia taa za glopu ndoga ama taa ya kuning'inia ama zote kwa pamoja.

Taa zenye mwanga mdogo huongeza nakshi ya muonekano sehemu ya kulia chakula..



Chumba cha kulala:

Chumba huhitaji mwanga mdogo muda mwingi, japo kua mpangilio mzuri wa taa unahitajika ili kupata mwanga unaohitajika kwa ajili ya usafi na kufanya shughuli zingine kama kukunja nguo, kupaki vitu, kuvaa etc. Hii inaweza kutolewa/kuwezeshwa kwa kuchanganywa kwa taa za ukutani, taa za juu ambazo zinaweza kua na mwanga hafifu (zinazopunguzika na kuongezeka mwanga) hua na muonekano wa kuvutia.

Mwanga mzuri wa taa za pembeni ya vitanda (bedside lamp/lights) ni mfano mzuri. Hii inamaanisha, weka taa ambazo ni maalum kwa kusomea(reading lights/bedside lamps). waweza weka taa zenye urembo, rahisi kutumia, na zinazodumu na zenye kuvutia.

NB: Naomba ieleweke kua kabla ya kununua taa jitahidi sana ujue ina mwaga wa kiasi gani, na kama ina matumizi gani,... maana unaweza nunua taa ilimradi taa tuuu, kumbuka kuna vyumba havi hitaji mwanga sana, na kuna vingine vinahitaji mwanga, sehemu kama jikoni, mwanga ni lazima wa kutosha, kwenye vyumba vya watoto kuchezea, nje etc.... ila kwa mahali kama chumbani mwanga mwingi hauhitajiki... maana hapa ni sehemu ya kupumzikia so hakuhitaji sana mwanga, na ninashauri chukua taa ambazo zinapunguzika mwanga kama nilivyoongea hapo juu. hebu fikiria umerudi umechoka kazini,halafu unaingia chumbani unawasaha taa, mwanga huooooo, si utaumwa na kichwa wewe jamani?  ............

Topic to be continue...... Bathroom lights, Playroom, and Utility room.........


Tuesday, March 13, 2012

Different rooms, Different requirements......

Think carefully about the use for which the room is intended;

  • A hallway should feel welcoming. Pendant lights and table lamps or wall lights and table lamps or wall lights provide that ambience
  • A Living room works best with layered lighting that caters to different uses a different times of day. Ceiling recessed lights to illuminate focal points and draw the eye around the space will enhance the sense of room and light mirrors adn artwork. Lighting blinds, shutters or curtain areas prevents large blank spots at night, when these are closed. Table or standard lamps are essential for a cosy atmosphere. A small number of large lamps works best.
  • In a kitchen, lamp light, wall lights and focal-point lighting, such as a dramatic or pretty pendant, will all enhance a room in which you spend a great deal of time, but that also needs to be highly practical, It is easy to avoid working in your own shadow by the use of well-positioned ceiling-recessed lights that give you shadow-free light.

To be continued.....

Lugha Tunayotumia......

Tunaomba kwa yeyote anayeona kua tutafsiri, ama tutumie kiswahili badala ya kiingereza, ama tutumie lugha zote, mtujulishe, maana tunaendelea na somo sasa tusingependa kumuacha mtu nyuma,, ni kwa faida yetu wote.....

Tunashukuru ndugu mdau kwa kutueleza tutumie kiswahili..

Maoni yenu ndugu wadau yatatusaidia katika hili...

Sylvia a.k.a mama Jaydan..

Phides anaendelea na somo la light.......






Monday, March 12, 2012

Understanding Light.........

As our eyes are always drawn to the brightest point, we can use light to make a small space appear larger.This also means that a well-positioned light.



Using reflection.
when deciding what kind of light to use and where to put it, remember that light travels in a straight line.If you want even, shadow- free light  .eg home office-use a wall-mounted uplight or a concealed light on top of a high unit.This light will rise upwards and reflect off the ceiling,creating diffused light.


The importance of shadow.
Shadow and shade are just as important as the light in a successfully lit interior. sometime it is important to have an even illumination,such as in an office space.However, atmosphere and mood are built by placing light source throughout a space-in other words,positioning them where they are needed to draw the eye around the room.


Light and mood.
Remember that we respond to light  in an emotion way. Some forms of light can make you feel comfortable and cosy-for instance,lamp light in a living room - or active and vibrant,as in a brightly lit kitchen.If in doubt about how to tackle lighting in a particular space,ask yourself  how you want people to feel when they are in that room.


To be continued.......

Sunday, March 11, 2012

Habari za weekend......

Sisi ni wazima na weekend yetu ilikua ni nzuri, maana tulizunguka sites kwa wateja, na tulimaliza salama... twafanya kazi mpaka jumapili, hii inaitwa hakuna kulala. hahahhah...... maana weekend mara nyingi wadau wanaokwenda makazini hua ndio muda wao wa kupumzika na kwenda sites zao ama kutuita mahali wanapoishi...

Poleni kwa majukumu weekend, na karibuni kwa kuanza week.

Twawatakia kila la kheri.......

Somo la Taa linafuata..........

Friday, March 9, 2012

Taa za nyumbani/ofisini kwako......

Kabla sijaingia kwenye topic ya taa, ningependa kujua, je, taa hua unanunua tuu kwa kufuata muonekano mzuri wa taa yenyewe, ama unafanyaje? ili tujue tunaanzia wapi kulielezea...

Tusaidiane katika hili........Phides ataliongelea kwa undani swala hili.....

Tips on how to choose Exterior Colors for your house/office

Tour the Neighborhood

As you prepare to choose colors for an exterior painting project, tour neighborhoods and note which colors catch your eye. Pay particular attention to homes that are similar in architectural style to your own.

Fitting In

Consider the context of your home and aim to blend in. If all the houses are white and you want a darker house, you're better off with a midtone instead of a dark color. Use bolder strokes of color on smaller elements, like the front door or shutters. Harmony is more important where houses are close together. In neighborhoods with spacious lots or visual buffers of foliage, paint schemes can be more personalized.

Landscaping Cues

Take color cues from your landscaping. A house surrounded by woodlands may look out of place painted in pastels, but natural in earth tones. Sunbelt houses can wear bright colors; in a cold climate, bright shades can look cartoonish on a gray day. Climate plays a role, too. Imagine your proposed paint color in stark, snowy winter as well as in lush, leafy summer. Remember that colors intensify and look brighter in daylight on the outside of a house than they do on the color card in the store.


Consider Climate

Take into consideration your climate and how the seasons play out in your region. Imagine your proposed paint color in stark, snowy winter as well as in lush, leafy summer. Remember that colors intensify and look brighter in daylight on the outside of a house than they do on the color card in the store.

Take it Outside

Look at your paint chips and material samples outside in different lighting. You'll want to get an idea of what the colors will look like in the shade, on bright, sunny days, and on overcast days, as well.

Consider Fixed Elements

Brick, slate, stone, and concrete are known as fixed, or given, elements because you cannot, or probably would not, change them. You could paint brick and vinyl siding, but doing so would only increase maintenance. In general, the foundation color should be the same or darker than the siding color.

Remember Roof Color

Unless you plan on replacing your roof, it should play a part in the color scheme. The size and impact of roofing can be as prominent as siding, so its color must relate harmoniously to the siding and trim colors to create a cohesive color scheme.

Pick the Right Roof Color

Roofing is a much more permanent investment, as it is designed to last 15 to 20 years or more. A coat of paint is only designed to last one-third of that. Pick a neutral, go-with-anything roofing material and down the road, you'll leave yourself open to more paint color options when it comes time to re-paint your home.

Proportion

Factor in your home's size. Depending on the proportions, you may want to emphasize or tone down certain features. Keep in mind that lighter colors tend to visually grow a home or feature, while darker colors shrink them. Bright colors call attention to features while neutrals let them fade into the background.

Pick Three Colors

Choose at least two colors for your home's exterior when the siding is brick or stone. Select three colors when the siding will also be painted as the main color. Pick a complementary color for the trim and an accent color for doors, shutters, and decorative trim. Need more help? Try hiring a professional colorist to design a color scheme unique to your home.


Consider the Style

A home's style is another cue to its paint treatment. If your house has no particular style, paint it in colors that appeal to you. However, if your home is a colonial, Greek Revival, Prairie, or other distinctive style, respecting the integrity of the original architecture is important.

Wednesday, March 7, 2012

Mwaka huu wadau wa blog hii wameamua.......Wale wote walio kwenye kundi la 1, tunawashukuru, na kundi la 2 tujitahidi kufikia kundi 1......Kupanga kuchagua....Homez Deco tuko kwa ajili yako.....

Kundi la 1:

Tokea mwaka jana mwishoni mpaka sasa, kwa kweli napenda kuwapongeza wadau wangu kwa uamuzi wenu, kwa kuchagua Homez Deco, kuwafanyia kazi zenu.

Yaani naanza kuona matunda ya kile ninachokifundisha....... kama ninavyosema, Kupanga kuchagua. Ukichagua kuvaa, ukaacha nyumba haieleweki ni umechagua, na ukichagua kutengeneza nyumba mambo mengine baadae pia ni kuchagua.

Uamuzi ni wako, chaguo ni lako.

Tumepata pongezi nyingi sana sana, kwa wateja wetu wote tuliowafanyia kazi, maana kwanza tuna meet deadline ya delivery, kazi ni nzuri....... hakuna longolongo, nawashukuru sana.

Kitu kingine ninachokisisitiza, na kimeshaanza kuleta matunda kwa wale wanaokitumia ni kwamba, ku decorate nyumba yako sio lazima ufanye vitu vyote kwa wakati mmoja,

 Kundi La 2:

Kua na check list ya nini kianze na nini kimalizike. Kwa kufanya hivyo utaona utakavyofanikiwa, na budget yako haitaingiliana na kitu kingine....

Hivi kama tunaweza kujiandaaa miezi na miezi kuchangia kitchen party, sendoff, harusi, na tena siku hizi sherehe zi nazidi, kwa nini tunashindwa kujipanga kukarabati nyumba zetu?

Najua ni gharama, ila ukijipanga inawezekana, na utaweza...... Inaanzia kwako na si kwa jirani.....

Chagua unaanza na chumba gani? na unamalizia wapi?

Kuna huu msemo hua ninakutana nao kila kukicha........SIWEZI DECORATE NYUMBA YA KUPANGA MPAKA KWENYE NYUMBA YANGU....

Sasa ukiliangalia huu msemo kwa mapana jamani, unajua inachekesha, maana emagine huyu mtu hana hata kiwanja.......ama ana kiwanja hajaanza kujenga, na hajajua ataanza lini kujenga.  Ila anavaa vizuri kupita maelezo, SASA KWA NINI UVAE VIZURI WAKATI UKO KWENYE YAKUPANGA, SI USUBIRI UWE NA YAKO NDIO UVAE VIZURI....(kwa mimi huu msemo ninautafsiri kua nyumba za kupanga haziihitaji decorations. hivyo hata kuvaa pia hakutakiwi kuvaa vizuri ukapendeza mpaka kwenye nyumba yako)

Ukiangalia kwa undani, unaweza decorate kwenye hiyo nyumba yako ya kupanga, na asilimia kubwa ya decorations ukaondoka nazo kwenye hiyo nyumba yako utakayojenga.

Naomba huu msemo wapendwa watanzania tuufute...... na ufutike..........

Nyumba nzuri inaanza na wewe na si mwenyenyumba, ama jirani........jipange, tayarisha checklist yako, na utaweza..... mungu ni mwema na anampa kheri yake kila mwenye nia....

Uko kwenye kundi gani?

Nawatakia siku njema.......

Tuesday, March 6, 2012

Bathrooms

Bathorooms need paricularly carefuly measuring and planning before the main components are ordered and work begins, because fitted sanitaryware is a permanent fixture that can be expensive to alter once it has been installed.

Existing pipework may also dictate the new design and layout.

Do:
  • Remember to allow sufficient clearance around the sanitaryware.
Don't:
  • Cram large-scale pieces into a small bathroom if you can't use them in comfort.


Nadhani sasa mtakua mmejua kila chumba mtumiaje space zake..........

The End.

Monday, March 5, 2012

Home offices

This room need a plenty of accessible storage, as well as a desk and a chair. If space is tight, use all the available wall space for storage racks and shelves.

Allow at least 70 cm (28 inch) of floor space for the chair when sitting at the desk.

Do:
  • Ensure there are plenty of phone and power points close to the desk.
  • In shared spaces, consider a room divider, it can be as simple as a folding screen.
Don't:
  • Let office equipment dominate in a shared space with a dining room or bedroom


Budget Advice for Kitchen Remodels (lets ge back to business)

General Guidelines
Kitchen designers recommend a budget guideline of no more than 15 percent of a home's total value when remodeling a kitchen. Spend more than that, it's said, and you risk losing money. Still, a functional, attractive kitchen offers intangible benefits, such as how much you'll enjoy cooking or whether it's suitable for entertaining. Consider how long you're likely to stay in the house, and then decide which of the following three remodeling plans fits your situation best.

Do Simple Updates
It's surprising how little effort it takes to rev up a backsplash with a row of tile, or to replace the garbage disposal with one that doesn't shake the house.

-- If faucets leak or are hopelessly outdated, replace them and touch up any chipped porcelain on sinks.

-- Light fixtures should work flawlessly or be replaced if they're out of date.

PLAN B: Take It Halfway
You want to stay in the house awhile, but you're not ready for a complete kitchen renovation. Still, it's worth some time and effort to create a kitchen you can enjoy.

-- Paint the walls a cheerful color. Replace a couple of wooden cabinet panels with clear glass.

-- Add much-needed storage with open shelving or look for secondhand cabinets to fill the gaps and paint them to match.

-- Revive marred baseboards and trim with a fresh coat of paint, and replace boring hardware or light fixtures with stylish new ones.


Looks and Durability

Surfaces should be chosen for looks as well as practicality.

-- Ultra-durable granite or quartz-surfacing counters top many homeowners' wish lists, but solid-surfacing countertops also hold up well without losing their looks.

-- Stone or ceramic tile and hardwood planks are still flooring favorites, but laminate and resilient sheet flooring can look good for years with little upkeep.

-- A high-end faucet and sink are products you will use on a daily basis. Invest in products with style and the best quality you can afford.

-- If you must wait on a few things, keep in mind that better lighting fixtures, faucets, and backsplashes are easy to install later.

Usiku wa tarehe 03/03 nilimazia hiviiiiiii....



 Nilifurahi kukutana na wadau wa blog yangu..... ni raha iliyoje kukubalika kaika jamii kwa kazi ninayoifanya....
 Alice (rafiki yangu) ni designer wa nguo, amesomea kabisa Nairobi...(hakuna kubahaisha hapa) kazi yake hii, na anashona mwenyewe.....ame design mwenyewee hii nguo yake, na kuishona mwenyewe.. nitawaletea contacts zake later...


Haya best nimejitahidi kupose hapo.... hahahah si unajua tena kazi zetu hakuna kuleta pose... Nguo yangu nime design mwenyewe, tena nashukuru kua Shamim amenifanya nianze kushona nguo... ndio nimeanza kupeleka kitambaa na design yangu fundi anishonee....(Naweza eeehhhee ku design... hahhahah) haya fani za watu hizi.....hua ninafanya nikiwa free ku design nguo zangu mwenyewe......

With friends, Vai, Alice and Me...( duh mie mdogo eehehhe)
Huyu ni mdogo wangu anaitwa Johnson..... Jamani eti tumefanana.... maana watu wanasema tumefanana, mie sioni, ama naleta mazoea?..... hahhahah Love you my Bro.....(na mie ni mkubwa eti,,, unamuona dogo alivyo mrefu hahhaha)


Interview with Nirvana......
Dada zangu, Shani & Mariam


Shamim & Me

Happy people....





Tunashukuru mambo yalikua poa, .........Na ninawashukuru wote walioni wish Happy Birthday..(haya Jaydan analia ngoja nimuwahi,,, duh kumbe muda umekwenda) hhhahaha love u all....

Thanks wadau wangu wote........(what I did on my birthday date)...03/03.. hii ilikua mchana....

 Nilipita syria exbition pale diamond jubilee... na hapa nikimchagulia Jaydan wangu zawadi.........
 With a friend anaitwa Sylvia, hapa tukichagua decorations.... nakuangalia wenzetu huko wanafanyaje.....
 Huyu uncle alikua mcheshi sana, alituomba atupige picha, halafu nipige nae picha baada ya mahojiano nae. hahhahaha kwa kweli alitufurahisha sana, ninachoweza kusema interior decor ilituleta pamoja, maana alikua anatuchekesha sana......
 Nikiendelea kupata majibu ya maswali yangu, nilipita maduka mbali mbali, walikua na vitu vizuri, ila ndio inabidi usiwe na haraka........ Hongereni Syria Exbitions.....mlifanya vizuri na vitu vilikua vizuri.



Haya ndio ulirudi, na nikaanza kujiandaa na event ya usiku aliyoandaa Shamim.....Hapa ilikua ni kucha natengeneza,, with my jump suit, na kibajaji... hii ndio wanaita color blocking sio... ama... maana jamani interior design & Landscaping inanikeep busy...... mpaka fashion zanipita..ahhahahhahahahha

Thursday, March 1, 2012

3rd March.....(Ni birthday yangu)......

Ninamshukuru mungu kwa kila jambo, na yeye ni muweza wa yote, na anaendelea kunipigania mpaka sasa, nikifikiria ni wangapi walitamani kuiona siku hii na hawakuweza kuiona, ni wangapi wagonjwa wako hospitalini?

Mimi ninamshukuru muumba wangu, kwa kuniwezesha kua hapa, mpaka sasa na namuomba mungu aendelee kutupigania na mtoto wangu....

Nawashukuru pia wadau wangu mpaka sasa kwa kuweza kunikubali, na bila ninyi Jaydan wangu asingepata maziwa....... Mungu awabariki na kuwalinda katika kila jambo.

Kweli ninafuraha sana sana, maana ni birthday yangu ya kwanza kusherehekea na Jaydan wangu.... Ingawa usiku nitakua Pale Serena Hotel Kuungana na wanawake wenzangu na wasichana.

Nitapumzika siku hii ya kuzaliwa kwangu, maana ninakua na mchaka mchaka siku zote 7. Ila siku nitapumzika kusherehekea siku hii.......

Nawapenda woteeee.... na mungu awabariki na kuwalinda.

BEDROOMS (how you're room works)....

In the bedrooms the bed needs to be the right size for the room, which means you and your partner/yourself need to beable to get in and out of the bed wih ease. Ensure that you have enough space to open chests of drawers and wardrobes.

Do:
  • Allow abou 80-100 (30-40 inch) clearance around wardrobe doors and drawers
  • Fi sliding doors on fitter wardrobes to save floor space.
Don't:
  • Cram too much furniture into a small bedroom: people need space in which to move around and get dressed, and double beds need to be accessible on both sides
To be continued........in bathroom and home office..

Inroducing Roman Blind....(available @ homez deco in a different colors and materials)....







Hizi ni baadhi ya roman blind, roman blind ni aina ya pazia pia, na zinatumika majumbani... katika chumba chochote... ziko za design tofauti, zinavutia na zinapendeza.

Tunazitengeneza pia hapa Homez Deco, kwa square meter hivyo ni lazima tuje kupima nyumbani kwako ukubwa wa dirisha, hata kama ni mikoani tutakuja. Karibuni sana.......kwa maelezo zaidi tuwasiliane.....