Monday, December 10, 2012

Tumejiandaaje na sikukuu....ya Xmass na Mwaka mpya....


Hizi ni baadhi ya mapambo, katika sikukuu ya xmass na mwaka mpya hua tunapamba, haijalishi nyumba ni kubwa ama ni ndogo,,,unachotakiwa ni kupamba kulingana na ukubwa wa nyumba yako,,,,hizi ni baadhi ya picha ambapo unaweza jionea kwa jinsi zilivyopambwa.....

Kuna miti ya xmass, mito, kuna zawadi zinazokaa chini ya miti.....na mapambo mengine....

1 comment:

  1. habari mdada me nina sofa yangu ya rangi ya crem iliyokolea nataka kuweka mito plz naomba ushauri wenu ni rangi itafaa hapo ili kupendezesha

    ReplyDelete