Tuesday, December 4, 2012

SOFA, BEFORE AND AFTER......(maandalizi ya X-MASS hayo.....wewe umejiandaaje) Sitting room ikiwatayari imebadilika.....Homez Deco tuliweza kuibadilisha sofa kidogo iweze kupata muonekano mwingine.....tuliweka foronya za green, cream na animal print.....Color ya sofa ni dark brown.....
Hapa sofa ikiwa bado haijabadilika muonekano.....

No comments:

Post a Comment