Friday, December 7, 2012

More wallpapers......
Nimepata maswali kuhusu wallpapers, kama zinaharibu ukuta ama la...Jibu ni kua haziharibu ukuta na zinakaamuda mrefu ukutani.....

Tuna kuja kukubandikia, na hauna haja ya kununua gundi kwa bei ya tofauti......Bei ya wallpapers ni kwa  square meter 1 = 30,000/- sasa inategemea na ukuta wako zinaingia roll ngapi kulingana na vipimo vya upana na urefu...

Unachotakiwa ni kunitumia vipimo vya ukuta yaani upana na urefu. halafu nitakuambia zinaingia rolls ngapi.

Kubandika wallpapers ni ukuta mmoja ambao wewe utaupenda, kwa mfani kwa sitting room tunabandika ukuta ambao ni wa tv.....

Kuta zenye madirisha wallpapers hazikai vizuri..nikiwa na maana hazina mvuto mzuri.....

Karibuni sana kwa mahitaji yako ya wallpapers...

Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu....

NB: Wallpapers zinatoka USA na UK....

4 comments:

 1. Mama J nimekuuliza kuhusu kitanda Mbona hujanijibu? au nipe number yako ya simu nikupigie, kama huwezi kujibu hapa

  ReplyDelete
 2. Hi, sorry mdau kwa kuchelewa kukujibu kuhusu double decker....bei itakua ni 550,000 na itachukua wiki 1 na nusu kua tayari....

  Na kulipia ni :alf kabla ya order, na ukipata mzigo unamalizia kulipa...karibu. From homez deco...

  ReplyDelete
 3. Tunaomba utuonyeshe picha ya nyumba ulizobandika wallpaper ili tuone zinakuwaje au zinapendezaje. Kwa sasa hata sipati picha halisi inakuwaje.

  ReplyDelete
 4. me celewi hzo wall paper zinakuwaje plz tuoneshe picha

  ReplyDelete