Thursday, December 20, 2012

Color of the year 2013....Pantone 17-5641 Emerald
Hii ndio rangi ya mwakani ya 2013......tutaendelea kuiangalia ni jinsi gani tunaweza kuitumia kwenye nyumba zetu, maofisi etc......endelea kua nasi.....

3 comments:

  1. habari dada mimi nina sofa zangu za rangi ya crem nataka kuweka mito unaweza kunishauri ni rangi gani hapo itafaa nataka kuweka rangi mbili tofauti mama caclico mbeya

    ReplyDelete
  2. Habari nzuri, sasa napenda kujua rangi ya ukuta, ya mapazia, rangi ya carpet.....ndio niweze kukuambia unaweza kuweka color gani ya foronya....

    ReplyDelete
  3. ukuta ni rangi ya creme na carpet ni animal print na pazia ni rangi ya crem ilochanganyika na rangi ya chokleti.mama caclico mbeya

    ReplyDelete