Wednesday, October 31, 2012

Usafi wa majumbani kwetu.....Tumekua tukiongelea sana kuhusu kupamba nyumba zetu, na kuzipendezesha......sasa vipi kuhusu usafi? Je usafi wa nyumba yako uanzingatia? Kuanzia usafi wa vitendea kazi, sabuni uzitumiazo. zinakusaidia ama kukurahisishia? kwa wale wenye carpets, tiles, sofa za leather, sofa za vitambaa, etc......Unafanyaje usafi?

Majibu ya maswali haya utayapata humu humu....endelea kua nazi......

1 comment:

  1. du huwa nawakubali sana kwa maada zenu jamani

    ReplyDelete