Wednesday, October 17, 2012

WASEMAJI WA WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALA HAWA HAPA.


Hii ni kwa wasichana kuanzia miaka 18 na wanawake wote kwa ujumla.Jumapili hii diamond jubelee Vip hall kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.Kwa kiingilio cha Tsh 30,000.
 Bado naendelea kuwashukuru sana wadhamini wa hii shughuli ambao ni  
Tsn supermarket(wadhamini wakuu)
Cocacola

Sossi

clouds fm.   

TICKETS ZINAPATIKANA SASA
 Tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mliman city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000.
 8020 Fashions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni na bamaga,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni.
PIA mlioko mjini piga namba 0716485666

No comments:

Post a Comment