Monday, October 29, 2012

Umejiandaaje kumaliza mwaka kwa upande wa nyumba yako?

Mwaka ndio huu unakaribia kuisha, na wengi wetu tunajitahidi kumalizia nyumba zetu, ili tuweze kuingia na kusherehekea tukiwa kwenye nyumba zetu....

Lakini pia kwa wale ambao bado, basi hata nanyi hamtakua nyuma kwa hili.(nikiwa na maana sio lazima uwe umejenga, hata kwenye nyumba ya kupanga unayookaa unaweza ukaipendezesha na ukasherehekea sikukuu vizuri tuu na familia)

Homez Deco inawakaribisha wote, kwa mahitaji yafuatayo:

1. Pazia
2.  Ushauri
3.Mpangilio wa fanicha
4.Rangi za ukuta, na ukizingatia tuko na rangi za Dulux za Sadolin
5. Thamani za chuma
6. Mapambo ya nyumba....

Muda ni mchache, tuwasiliane kwa maelezo zaidi.......0713-920565No comments:

Post a Comment