Tuesday, October 16, 2012

UJUMBE WA KUWA KITCHEN PARTY GALA YA SAFARI HII USIKOSE UNAUPATA KILA MAHALI.


Kwa huduma ya printing za aina zote mpaka kazi za mabango waone MAWESO DIGITAL PRINTING ni ya hapahapa nyumbani Tanzania.Wapigie simu 0768000002,0713562116
Hawa ndio walihusika na kuprint haya mabango.
 Pata ticket yako mapema tickets zimeanza kuuzwa shear illusion mlimani city ambapo ukinunua unapata kuchagua zawadi ya tsh 10,000 pia 8020fashions sinza mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine mwenge Tra,Jackz cosmetics kinondoni wanatoa na ofa ya kuchagua zawadi yoyote....PIA mlioko mjini piga namba 0716485666.Ticket ni tsh 30,000.
Kwa mnaonunua meza please fanyeni mapema maana mwisho wa kununua meza ni jumatano ya tarehe 18 kesho kutwa.
 Imedhaminiwa na Tsn Supermarket,cocacola,sossi na clouds fm
Tunazungumza mengi kuhusu mahusiano,familia,ndoa na yanayomhusu mwanamke kijamii kwa ujumlakaribu sana.Itakuwa Diamond jubelee VIP hall kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku tafadhali muda uzingatiwe.

No comments:

Post a Comment