Monday, October 1, 2012

Beds available at Homez Deco....(by order, & without matress) Size by 5 by 6...

 Price tshs. 380,000/-
 Price tshs. 350,000/-
  Price tshs. 395,000/-
  Price tshs. 350,000/-
  Price tshs. 350,000/-
  Price tshs. 350,000/-
  Price tshs. 350,000/-
  Price tshs. 380,000/-
  Price tshs. 350,000/-
 Price tshs. 380,000/-


3 comments:

 1. Habari za leo dada!
  Hongera sana kwa blog yako nzuri,kwa kweli unatuelimisha na kutupa idea za kupamba nyumba zetu.Nauliza kitanda kuweka chaga za chuma inawezekana?kwa cha tisa hapo juu itakuwa kiasi gani?
  Asante!

  ReplyDelete
 2. Asante sana, nashukuru tunaendelea vema,sasa kwa itanda hivi ya chuma tukiweka chaga za chuma kitanda kitakua kinapiga kelele... ndio maana hatuweki.

  karibu sana.....

  ReplyDelete
 3. na hiki kitanda cha 5 by 6 ambacho unakiuza 395,000 kikiwa 6 by 6 utakiuza bei gani? na je mtu akikitaka anaweza kulipa kidogo kidogo then akimaliza ndio achukue mzigo wake?asante

  ReplyDelete