Sehemu za baridi   Arusha , Iringa, Bukoba, Lushoto, na  Morogoro, Musoma etc. Hali ya hewa ya mikoa hii ni barid pia  wana mvua za kila mara na zikinyesha  niza muda mrefu  na udongo wa hii mikoa unahifadhi maji kwa muda mrefu.   

Mkizingatia  maelezo  wapendwa wa landscaping mtafaidika sana. asanteni.

From:
Mrs. Jossyanne - USA