Sunday, January 1, 2012

We have made it to 2012.. OyeeeeeeeeeeeNina furaha kupita maelezo, sijui nisemeje, ila ninamshukuru Mungu kwa kila jambo na kutuwezesha kuuona mwaka huu 2012, ni wengi walitamani kuuona ila mungu amewapenda zaidi,

Mwaka huu nimejiwekea malengo yangu, na ninamuomba mungu aniwezeshe, anilinde, niweze kufikia malengo.

As you can see, we are very happy and my kid, all I can say he is everything to me, na nimefurahi sana kusherehekea mwaka mpya na mtoto wangu, some times siamini kama ni mama kwa furaha,,,,,,,,,

Naomba mungu mwanangu mungu akulinde, akuepushie na magonjwa, mabaya yote, uje uwe mwanaume mwenye kuheshimu wote, mchapa kazi, etc.......

Nawapenda wotee...........

2 comments:

  1. ohh tu-meno hutoo mashallah

    ReplyDelete
  2. nimependa makochi, umenunua wapi au umechongesha wapi, naomba namba

    ReplyDelete