Monday, January 23, 2012

My Best friend .......

Ushawahi kua na rafiki wa shida na raha, siri zako zake na zake zako, mko kama ndugu sasa? etc...  Mie wangu ni huyu, Halima, HK. Love uuuuuu........( niko mbioni kupunguza tumbo kwa mazoezi, maana niliambiwa niliache litapungua lenyewe, duh,, naona hakuna kitu...)

No comments:

Post a Comment