Thursday, January 5, 2012

Karibuni Katika blog yenu Hii kwa mwaka, 2012..

Natumamai wote mu wazima, Napenda kumshukuru mungu kwa kila jambo analonitendea, na kuniongoza, kunipa nafasi ya kuuona mwaka 2012, kwani ni wengi tuliowapoteza, na walipenda kuuona mwaka huu, ila mungu amewapenda zaidi.

Endelea kua nasi katika kufundishana mambo Home Decor, na ninawaahidi mambo mengi na mazuri nimewaandalia, mwaka huu.

Sina mengi ya kuongea ila vitendo ndivyo vitakavyoelezea.

From
Sylvia a.k.a Mama Jaydan.....

No comments:

Post a Comment