Tuesday, January 24, 2012

Tulianza na curtain poles, sasa ni mapazia..........

Hapa ni sitting room, kama mnavyoona, tumeweka curtains za rangi ya dark brown, ukuta ni rangi ya butter scotch, na makochi kama mnavyoyaona.... moja kwa moja hapa color inayotakiwa ni neutral color....
baadae tutabadilisha vitambaa vya sofa, hizo pillows....twaenda kwa awamu, nyumba ni mpya ndio wana miezi 3 tokea wahamie... so tunafanya vitu kwa awamu....INAWEZEKANA


curtain fixer, ofisini kwangu, mafundi ni wengine, curtain fixer ni wengine. na kila mtu anajua kazi yake wakiwa kazini


tunaangalia ilivyokaa....

tunarekebisha,,,, unajua bwana ukipenda kazi yako, ama biashara unayoifanya, utafanya kwa ustadi mkubwaaa, hapo unavyoniona, nilikua ninaiweka pazia vizuri kwenye curtain holder yake, nikiwa site(kwa mteja) hakuna cha bosi wala mfanyakazi, wote tunaingia mzigoni. 



nikimuonyesha fixer kitu.....


Hapa nikipanga gathers za pazia(marinda)....





dinning area...

hivi ndivyo pazia linatakiwa kukaa, yaani unaona marinda tokea juu mpaka chini....

upepo......nilichopenda huku ni kuna hewa,,,hakuna mbanano wa nyumba jamani...

Hapa nikitayarisha pazia za chumbani......



hua sometimes, nina fitisha pazia, kama dirisha ziko nyingi, ntawaonyesha siku nikiwa ninaning'inia juu ya madirisha.....well I love my job....

nimemaliza kuweka hooks, fixer anafanya kazi yake, huku ni chumbani....master

kuna jinsi ya kushika pazia kuweka kwenye curtain holder ili kupata marinda...... nitawaonyesha...


well fixer, akifuatilia marinda...



Zoezi litaendelea...........

4 comments:

  1. Nice Job.. Sasa, mtu akitaka nunua ile curtain poll peke yake ni sh ngapi?? ya 3 meters???

    ReplyDelete
  2. thanks, curtain poles ni shs, 70,000 kwa dirisha moja nani seti moja, karibu....

    ReplyDelete
  3. hongera sana kazi nzur,sofa za hapo nyumbani pia umetengeneza wewe? au uliweka mapazia?

    ReplyDelete
  4. Mapazia unazi import monyewe au unazi nunuwa mjini ?
    Call me 0784 76 87 86

    ReplyDelete