Wednesday, January 25, 2012

Kazi imekwisha........

Pazia inatakiwa ikae hivi........ umeona marinda yalivyokaa na kujipanga... ni rahisi, usijali nitawaelekeza.......



Dinning... hiyo scarf ya dirishani inaweza kuwekwa design nyingi tuuu ni utundu ma mtu, waweza pitisha katikati, etc.......

Baada ya kazi nikimsubiri mwenye nyumba nimkabidhi kazi yangu........

Toilet ya master... hizo tiles zina papo na pink kwa mbali. Vyooni hua tunaweka hizi shee.......

Master Bedroom,.........

8 comments:

  1. Kazi nzuri sana..kwa mfano hiyo hapo master bedroom kuanzia hizo frame,pazia kwa urefu huo huo na material hiyo hiyo ni shs ngapi kwa ujumla kwa hilo dirisha moja assuming na la kwangu ni saiz hiyo...mrs chacha

    ReplyDelete
  2. Kazi nzuri sana, hongera unajuwa unachokifanya.

    ReplyDelete
  3. THAT IS BEAUTIFULL MAMA J

    ReplyDelete
  4. Hongera sana kazi nzuri kwa kweli, mimi napenda kazi yako singojei utuelekeze najipanga uje nfungie pazia kwangu, natumai sio expensive au.... otherwise hongera sana

    ReplyDelete
  5. Asanteni sana sana,

    Anonymous wa kwanza, nakushukuru sana, curtain poles kwa dirisha ni shs. 70,000 ni set nzima, na mashono ni 35,000/= kitambaa chekundu zinaingia mita 6, mita ni shs. 10,000/= na pazia nyepesi mita ni sh, 8,000 ambazo zinaingia mita 5. sasa basi kwa dirisha hilo moja ita cost shs. 205,000/- bei inakua kubwa kwa sababu unaanza na curtain poles...

    karibu..

    ReplyDelete
  6. Asante sana mashughuli, karibu sana, sio expensive usijali, ukiwa tayari tuwasiliane. hongera kwa kazi nzuri pia, hua sikosi kuangalia blog yako......

    ReplyDelete
  7. Thats reasonable.. Sasa, kama nimeshanunua kitambaa changu je unatoa service??

    ReplyDelete
  8. ndio kama una kitambaa chako tunakubali, maana bado sijawa na mtaji mkubwa wa kua na vitambaa vya mapazia, hata sasa hivi hua ninanunua maduka ya vitambaa town, so we kilete tuuu, ila ndio mpaka nije kupima kwako kujua ngapi unatakiwa kununua, bila kuzidisha. karibu....

    ReplyDelete