Monday, January 9, 2012

Kusaidia watoto yatima, na watu wa hali ya chini

Asante wadau kwa mawazo yenu, vituo vya kusaidia vitakua ni zaidi ya kimoja, kwa hapa Dar, na zoezi hili kama likifanikiwa, itafanyika mikoa mbali mbali, kwa kusaidia vituo vya mikoa yao.

Hivyo nawaomba tusaidiane katika hili, kutoa ni moyo........

Kwa atakayetaka kua kwenye kamati, tafadhali usisite, tuwasiliane.

Naendelea kupokea mawazo yenu...... siku si nyingi kwa zoezi hili, na ninyi ndio mtakaou kua mme play part kubwa katika hili....

Asanten

No comments:

Post a Comment