Tuesday, October 12, 2010

TO ALL MOTHER TO BE............

Ninaomba tu share hii mada nanyi. Kuna hii website inaitwa http://www.babycenter.com ni website ya watoto na inakueleza nini chakufanya kuanzia mimba ikiwa changa, jinsi ya kusave (hii especially to single mothers like me) na pia ina calculate na kukujulisha kua ujauzito wako una muda gani na mtoto kafikia stage gani, nini ule etc. kwa kweli ni mambo mengi sana.

Karibuni muione na kujisomea.

NB: kama una maoni, ushauri, na pia mawazo tafadhali usisite kunitumia email kwa address hii: sylvianamoyo@yahoo.com ili tuweze kuwekana sawa na wenzetu. nami nitazi post kwenye blog yetu hii.

Wishing u all the best through this period. Mother to be.....

1 comment:

  1. mie ni member nilijiandikisha mara ya kwanza wakati nina mimba yangu ya kwanza ilinisaidia sana na mtoto wangu wa pili pia na habari zao za maendeleo yao nazipata hadi leo mwanangu wa kwanza ana miaka minne na nusu na wa pili ana miezi nane,vitu vingi wanakueleza presha inapungua sana na wasiwasi pia unapungua,i wish you goodluck katika kusubiri huyo mgeni kwenye hii dunia.
    mama T

    ReplyDelete