Thursday, October 28, 2010

Gharama za utengenezaji garden

Gharama hizi inategemea na ukubwa ama udogo wa sehemu na aina gani ya maua tutakayoyatumia, je udongo wako ni mzuri, maana mahitaji ya garden ni, udongo, maji, mbolea, maua, etc.

Sasa, sio kila sehemu zinafanana, ni lazima tuje tu angalie sehemu yako ikoje na imekaaje, na kama tunavyojua, kila ua lina gharama yake, tunakupigia mahesabu ya kila kitu, kwa kweli kwa kukisia ni vigumu. na kama tunavyojua hatufanyi kazi kwa kubahatisha, kila kitu kinakwenda kwa design na vipimo. Msiogope gharama, jali quality ya kitu.

Natumai nimejibu swali lako ndugu mdau.

No comments:

Post a Comment