Monday, October 11, 2010

baadhi ya kazi ambazo tulifanya this summer ( From Jossyanne - USA)


Hapa juu ni baada ya kufanyiwa kazi, sehemu ambayo majani hayajaota hua yanalingana kwa kadri unavyo maintain garden yako na hatimaye huja kulingana. HAPA KWETU INAWEZEKANA KUA NA MAZINGIRA MAZURI NA MASAFI, KOKOTE KULE. MAZINGIRA NI UHAI
Kazi ni kazi, hapo dada yuko kazini, hata huko ulaya kuna sehemu ziko kama huku kwetu dar ama mkoa mwingine, ni kujipenda na kupenda mazingira yanayokuzunguka. Picha hizi mbili ni kabla ya kufanyiwa kazi.
Hizo ni hatua za kwanza za utayarishajiwa gardeni kama mnavyoona kwenye picha laking kuondoa magugu, kuweka mbolea pia uchanganyaji wa udongo na mbolea, hapa tulikuwa tunapanda majani, short grasses, ambayo tunaita ukoka, Ila ndugu wapendwa haya majani yanategemea na hali ya hewa ya mikoa mnayoishi,kwenye baridi, kama arusha kuna aina ya majani ambayo tunaita north east grasses, ambayo tunatumia hapa new york haya yanaweza kumea mikoa yenye mvua nyingi na baridi mfano lushoto ars, iringa na mbeya, so pia kwa tz mikoa yenye baridi wana majani ambayo yanamea, vizuri tu jaribuni majumbani,mwenu, in munispaal area, mbele ya majengo, makubwa nk,Pia tuwe wasitaarabu ukiona mwenzio kapanda iwe maua majani miti acha kutupa takataka, kufanya njia, au kukojoa ovyo shemu kama hizi tuwe wapenda mazingira, inasikitisha sana baadhi ya vitendo vinavyofanywa na binadamu mwenye akili timamu nachukia sana baadhi ya  wanaume wanaokojoa ovyo ovyo kila kona, sheria zichuwekuwe mkondo wake, tupende na kuheshimu  mazingira tunayoishi na kuyalinda, kwani kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeepuka kama sio kupunguza magonjwa katika mazingira yetu na nchi yetu.

No comments:

Post a Comment