Monday, October 25, 2010

Fundi wa jiko la gas anahitajika.... kwa yeyote anayemjua fundi mzuri tunaomba contacts zake tumsaidie mdau mwenzetu

Mdau mwenzetu Ndera, anaomba msaada wa  fundi wa jiko la gas. Anaomba wadau wanaofahamu wanipatie namba ya simu niwasiliane naye kupitia blog hii.

Asanteni

1 comment:

 1. Cheerlicious ChickJanuary 5, 2011 at 1:04 PM

  hi,

  mi natafuta wall papers. zinapatikana wapi hapa dar?
  za bei nzuri ningezifurahia zaidi. lakini bei yoyote tu, angalau nipate tu
  thanks

  ReplyDelete