Tuesday, October 12, 2010

Rangi yenye mvuto kwenye duka la fashion design

Hi mimigal, asante sana kwa compliments, sasa kuhusu rangi za kupaka kwenye duka la fashion design, kwanza ningependa nijue hilo duka ni lita base kwa vitu vya wanawake ama wanaume. na pia kwenye rangi jitahidi kupaka rangi ambazo ni bright, kama njano, orange, pink, blue etc.

Mpangilio pia una matter, jitahidi uwe na mpangilio wa vitu.

Hapa dukani tuna color samples zaidi ya mia karibu uje ujionee na nikupe ushauri

No comments:

Post a Comment