Monday, May 17, 2010

Makabati ya kijoni, imeletwa kwenu na Jossyane - USA. Tunakushukuru kwa kutuelimisha, dada.(Wote hatuwezi kuwa doctors, enginers, fashionists, etc)




kama picha zinavyoonyesha, jinsi ya mpagilio mzima wa jikoni, kwa wanaojenga nyumba zao, wanaofanya matengenezo wakina mama wakina dada hata wakina baba jiko ni sehemu muhimu sana ktk nyumba,na ni lazima ipewe kipaumbele kuaanzia rangi, organizing yaani mpangilio mzima, wa makabati drows,,jiko la kupigia, sink dish washer,frigde, na sehemu za kuifadhi vitu vinginevyo vya jikoni ,
Ndio maana kuna websites za kuelimishana, na kupeana  mawazo najuwa mpo wenye uwezo wenu, ila mnaitaji kupata wataalamu wa kuwapangia nyumba zenu na yaani kama hse oraganizer kwa kila kitu rangi mapazia, vitu vipangweje na ktk muonekano mzima nawaombeni fuateni ushauri wa wataalamu, kama dada Sylvia,
atawaelimisha sana, na kuwasadia kimawazo, na mpangilio mzima wa nyumba zenu na wakina mama mnajuwa mwanamke jiko usafi na upangaji wa vitu sio tena inakuwa kama vita jikoni basi uchafu, vyombo kuzagaa, lazima jioko liwe na mpangilio mzuri liwe la ktumia mkaa, kuni jiko gas umeme mpangilio ni mhimu sana ktk nyumba zetu, wapendwa, naomba tu miwe wa bishi wabaili wa kufuata ushauri wa ndio maana kuna hii websites, ya kuwasidia mlipokwama, asante mama joe.

No comments:

Post a Comment