Monday, May 10, 2010

SOME OF THE COLOR SAMPLES AVAILABLE @ HOMEZ DECO, COME AND WE DISCUSS.


Hizi zote ni rangi zinakuonyesha jinsi ya kuchanganya ni rangi gani inakwenda na rangi  gani, ushauri unapatikana hapa hapa Homez Deco.
Hizi ni hapa chini ni rangi za  vyumba vya watoto, inakuonyesha jinsi gani ya kuchanganya rangi kwenye vyumba vyao, furniture gani na za rangi gani uweke, (unaweza kujiuliza mtoto kila siku analia unampeleka hospitali akichekiwa haumwi, kumbe ni rangi ulizopaka ndio zinamkera)

Hizi ni counter tops samples, ama waweza kusema ni mable counter tops samples, karibu upate ushauri wa jinsi gani unaweza kwenda kuchagua counter tops, kwa ajili ya jiko lako, na ni rangi gani upake kwenye ukuta wako wa jiko, yote yanawezekana sasa hujachelewa.

No comments:

Post a Comment