Monday, May 17, 2010

Kitchen cabinets - from Jossyane - USA
nyingine za kuifadhia vitu jikoni natumaini mumeona mpangilio mzima wa jikoni na jinsi ya kupanga vitu mbalimbali majumbani mwetu unaitaji mpangilio huu onana na dada silyvia designers zipo nyingi inatemea na jinsi ulivyovutiwa, na budget yako. njoo ushauri unatolewa, na kama unaitaji kufuatwa nyumbani kwako kuna fees za kulipa utapewa ushauri nini cha kufanya, na nini usifanye kufuatana na jikoni au nyumba yako ilivyojengwa, pia tunashauri khs rangi za kupiga kwenye nyumba sehemu za biashara kwa wakazi dar epukeni dark colors zinaleta sana giza kwenye nyumba dark red, dark pink,dark blues hizi siyo rangi za dar, hata kidogo rangi za DAR ni cool lights, colors hii nifuatana na weather ya joto tuna joto sana atuitaji 

  rangi zenye giza hiyo ni big dont. nimetembea nimeona waliojenga nyumba zao vizuri ila kizaa zaa ni kwenye rangi mlizopiga majumbanimwenu 
  ombeni ushauri iweje ugarimikie nyumba. yako rangi zikuangushe?? pia wengi wenu nimeona mnapenda sana rangi ya pink plse pink ziko kama iana 12 ni lazima ujuwe ni pink ipi na ina maana ipi siyo ilimradi tuu nawaombeni mje hapo dukani kwetu, mpewe ushauri pia mzione samples mpate ideals. asanteni sana.  

No comments:

Post a Comment