Wednesday, May 19, 2010

Iam not okay since yesterday jamani, lol......

Kwenu wadau, tokea jana sijisikii vizuri kabisaaaaa, kichwa ndio usiseme kinavyoouma, na joto ndio duhhhh, nimeanza dozi ni homa za hapa na pale, though tuko kwenye kupigavita malaria.

Ila nitajitahidi kadri niwezavyo, kuendelea na biashara.

Nawatakia siku njema wooooteeeee.

No comments:

Post a Comment