Friday, May 14, 2010

Kwa wadau wangu woteee.

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru woteee, na pia najua mtakua mnajiuliza ya kua ni kwa nini nimepunguza kasi ya ku upload kila siku.

Naomba kuwapa majibu, ni kuwa kama nilivyo waambia nimerudi full time kwenye biashara yangu, sasa basi ninachofanya ni kupunguza downloadable photos, na kuweka kazi zangu, maana sasa nina muda wa kufanya kazi zangu.

Napenda pia kutoa fursa hii pia kwa wale wa mikoani sasa niko free ninaweza kuja mpaka mikoani kuwafanyia kazi kwa bei nafuu.

Na kwa kuanza nitakwenda Dodoma, nitakuwa huko mwisho wa mwezi huu wa tano kwa muda wa siku mbili, kuna client wangu yuko huko, hivyo mkinihitaji tuwasiliane kwa namba 0713 - 920 565.

Nawapenda wote, na nawatakia weekend njema.

No comments:

Post a Comment