Monday, May 10, 2010

MAIL KUTOKA KWA MDAU WANGU UENICE - THANKS A LOT. AND PLEASE KWA YEYOTE MWENYE LINK ANITUMIE NIWEZE KU POST, WOTE TUNAJIFUNZA.

Hello Sylvia,

Hongera sana kwa kazi nzuri, huwa zinanivutia coz mie pia napenda sana Interior Design. Waweza kucheki link below uwawekee wadau wengine wacheze na rangi..coz nimeshindwa kuchagua za kukutumia zote ni KALI!!!

 

Nakutakia mafanikio katika roll yako mpya ya ujasiriamali .

 

http://www.houseofturquoise.com

(NASHUKURU SANA SANA, EUNICE, KWA KU SHARE NASI HII LINK, NA HUA NINAFURAHI KUWA TUKO PAMOJA NA KWA MOYO MMOJA YA KUWA WADAU WANGU SIO WACHOYO WA ELIMU, KWA WENZAO, WANAPOONA KITU KIZURI HUWA WAKO TAYARI KUNITUMIA NA NIWEZE KU POST ILI KILA MTU AWEZE KUONA.)

No comments:

Post a Comment