Friday, December 6, 2013

SMOOTHOVER SKIMMING PLASTER......KIBAHA SITE

 Homez deco tukipokea mzingo wa SMOOTHOVER ukishushwa ofisini na kuhakikiwa na kutayarishwa tayari kwa kwenda site ya kibaha......
 tumeagiza ndoo za lita 20 na ziko 22...kwa aakjili ya skimming ndani na nje.....product hi haiharibiki kwa mvua ama jua baada ya kupaka ukutani na haina vumbi jingi kama products zingine na husaidia pia afya ya fundi pia kutopata vumbi jingi....


1 comment:

  1. hello, nakupongeza kwa juhudi zako za kutuelimisha katika maswala haya ya ujenzi na decoration, binafsi najifunza mengi kupitia wewe, nilitamani sana kama itawezekana tuone hio skimming inavyofanyika na kama itawezekana si vibaya ukatuwekea na bei ya ndoo moja ya hio skimming plaster

    ReplyDelete