Tuesday, December 10, 2013

L-SHAPE SOFA.....LIMETENGENEZWA NASI HOMEZ DECO...Ukifanya kazi nzuri....hata wewe mwenyewe unakua na amani...kwenda kumkabidhi mteja kazi yake.....maana kazi inajionyesha na inajieleza...
nashukuru sana maana homez deco tunafanya kazi nzuri bila papara...kwetu sie ni kazi kwanza iende vizuri halafu hela......hatuweki hela mbele halafu ndio kazi...maandio mwanzo wa kuharibu na kazi yenyewe.....
una design nyingi za sofa nanzuri...na zote utatengenezewa kulingana na material ya vitambaa vilivyopo na kwa kuchagua ni rangi gani unapenda...

Homez deco tunatengeneza sofa za aina yyote il upendayo na uliyoichagua wewe mteja wetu...na hata ukitaka tuibadilishe badilishe kulingana na upendavyo inawezekana....

Waweza kutuletea design yako na tukakutengenezea pia.....

Material ni nzuri na zina ubora...

Bei ya sofa hii ni 1.9mil

Haya ni baadhi ya maandalizi ya mwisho wa mwaka...kwa wateja wetu .....wakijiandaa kupamba na kubadilisha muonekano wa nyumba zao...

Karibuni tunawakaribisha wote...

No comments:

Post a Comment