Friday, December 6, 2013

RANGI KUBANDUKA UKUTANI.....KATIKA NYUMBA ZETU AMA OFISI ZETU...

Mtakubalia nami kua haya ni matatizo tuliyonayo nyumbani kwetu kwa upande wa rangi kubanduka....katika nyumba hii mteja wangu ameniambia kapaka rangi katika nyumba yake mwaka sasa rangi inabanduka nyumba nzima....kama inavyoonekana hapa...yaani ukishika inabaduka kama unachana karatasi.....

Sasa basi ninawakaribisha wote karibuni tutumie products za dulux....kwani ni nzri. Imara na matumizi yake ni kidogo tuu na unapaka mipako 2 na rangi imefunga...rangi hizi zinakupa uwezo wa kukaa nayo miaka 10...kama itatunzwa vizuri na inahimili hali ya hewa yoyote ile....tupende nyumba zetu kwa kupaka tangi nzuri zenye ubora.....na hata itasaidia kuto rudia rudia mara kwa mara........

Karibuni sana homez deco....kwa mahitaji ya rangi na tutakupa muongozo na ushauri pia .......bureeee....

1 comment:

  1. Tatizo hapo nilaliona ni kukosekana kwa "SADOBINDER" baada ya kufanya skimming, endapo utafanya skimming na ukasugua vizur na msasa then ukafuta vumbi na kuapply sadobinder ilo tatizo halitojitokeza.....ni HAYO tu!

    ReplyDelete