Wednesday, December 4, 2013

COFFEE TABLE AND CONSOLE TABLE.... MADE BY HOMEZ DECO....

 Homez deco.. kama tulivyowajulisha wadau wetu n wateja wetu kua tunatengeneza fanichure za mbao....hii ni mojawapo ya kazi yetu...hiyo hapo tuu ni coffee table na tumetumia mbao ya mninga na tuka spray rangi nyeusi kama alivyopenda....
hii ya pili ni console table nayo ni mninga meza hii inatumika kama urembo na pia unaweza kuweka funguo ama vitu vidogo vidogo ila unatanguliza kisahani kwanza ndio uweke.....maua pia yanakaa vizuri etc......

Hii unaweza iweka karibu na mlango wa kuingilia ndani ama korido...lakini pia inategemea na nyumba yako ikoje na space pia..


Tunawakaribisha wote...kutoa oda...homez deco

2 comments:

  1. Habari. Hiyo console table inauzwa pamoja na hicho kioo? na ni sh ngapi tafadhali.

    ReplyDelete
  2. Weka bei mamiii ya meza ya chakula na consale table asante

    ReplyDelete