Tuesday, September 24, 2013

MALI MPYA ..........ZINAPATIKANA HAPA HOMEZ DECO.......WASILIANA NASI KWA MANUNUZI - 0713 - 920565

Tunapenda kuwaarifu wadau wetu, wateja wetu na wote kua sasa Homez Deco tuna mali mpya ya sofas na meza za Tv za kisasa........

 Sofas zote bei ni 3,400,000/-  ( bila kusahau discount ipo....)
 Hizi ni sofas zote tulizo nazo.......kulingana na mahitaji yako na space uliyonayo........ Hizi ndio meza za tv tulizo nazo.......bei ya kila moja ni 1,250,000/-
Tunapenda kuwakaribisha wote.........

NB:
Kutokana na ofisi yetu kua ni ndogo, fanicha zote hizi ziko godown, ambapo utakapokuja ofisini kwetu, utapelekwa kuziona, na vitu vyote hivi ni ready made.3 comments:

  1. Picha ndogo sn hazionekan vzr mamii...

    ReplyDelete
  2. hakuna vitanda? au ushauri wa wapi naweza pata kitanda classic and affordable hapa DSM, my budget is 300000tshs

    ReplyDelete
  3. Iam serious buyer looking for a white coffee table. Nataka coffee table katika picha ya kwanza kabisa. Kama ipo hiyo au ya aina nyingine yoyote nyeupe nijibu ili tuweze kufanya mawasiliano zaidi.

    ReplyDelete