Thursday, September 19, 2013

HALIMA KIGUA SIKU YA KITCHEN PARTY YAKE.......

 Hii ilikua ni siku ya Halima Kigua.....kitchen party yake........hapa akiwa na baadhi ya marafiki.....kulia ni Jennifer na kushoto ni Faith......akiwa anaingia ukumbini....


 Halima akiingia ukumbini na somo yake.......
 You are so beautifull my best friend....Halima.....ulipendeza mnoooo....


 Kwa kweli ilikua ni siku ya furaha kwetu sote....tena ukizingatia tulisoma makongo high school, basi tulijumuika na kusherehekea siku ya mwezetu.........


Hongera sana Halima.......Siku ya kibao kata.....
 Halima akiwa na baadhi ya marafiki zake.....

 Mimi na Halima....(best friends)
 Halima


 Halima akiwa na Faith......
 Marafiki wote tulikuwapo kusherehekea siku ya Halima Kigua.........


NB:

Jamani kwa mimi maana ya rafiki hua ninaitafakari kua, ni mtu ambae mtakua nae kwenye shida na raha.....siku zote maishani mwenu......na haijalishi kama mmejuana ukubwani ama utotoni......mnashirikiana katika mambo mengi pia.....kuambiana ukweli, kuto kusimangana, kusemana......etc........

Mtu unakua na matatizo then marafiki wanakukimbia......jamani huo sio urafiki hata kidogo......


Marafiki wa kweli wapo. ingawa ni wachache mnoooo kadri siku zinavyozidi kusonga mbele.......wanazidi kupungua...... Halima, nimesoma nae shule ya makongo....tulivyomaliza tukapotezana......na tukaja kukutana huku mtaani......kusema ukweli tulivyokua shule hatukua marafiki hivyo ila ni kusalimiana, story kiasi etc,,,,,

Tukaja kua marafiki ukubwani......kwa kweli.....tumekua marafiki wa kweli, na tunapendana....

SHE IS MY BEST FRIEND EVER...........

Nakutakia maisha mema katika ndoa yako......na hakuna binadamu atakayeweza kuivunja bali ni Mungu pekee aliye juu yetu......muamini Mungu katika kila jambo na utaona baraka zake......

Love u.........

No comments:

Post a Comment