Sunday, April 7, 2013

Homez Deco.....Tuliweka Pazia ....Mbezi - Dar-Es-Salaam

  Hii ni kazi ya Homez Deco.....Nilivyoitwa na mteja kuhusu kuweka pazia.....nilifanya hivyo....nyumba hii ni mpya, na tayari kulikuwa na makochi...na picha hapo ukutani.....kabla ya kuweka paiza.....
Sasa basi nilichofanya mimi niliangalia picha ya ukutani na hiyo ndio iliyoniongoza niweke pazia ya rangi gani katika nyumba hiii, ukiangalia picha hii, tayari rangi ya cream iko imepakwa ukutani, dark brown iko kwenye makochi.....na light brown ni carpet, na black iko kwenye coffee table, na meza ya tv na tv yenyewe......

Na hata mini bar counter ina silver na black pia..........Kwa hiyo nilichofanya ni kuchagua pazia ambazo zina mistari ya red, orange na kitambaa chenyewe kina light brown.......kwa kufanya hivi sikutaka kuwe na rangi nyingi kwenye sitting room hii......

 Nikiwa na mafundi katika pilika pilika ya kuweka vitu vizuri....
Mafundi wakiweka pazia...........


Kwa mahitaji ya pazia wasiliana nasi........kwa design yoyote ile inawezekana kwetu Homez Deco....karibuni......

Contacts:
Email: sylvianamoyo@yahoo.com
Tel: 0713 - 920565
No comments:

Post a Comment