Wednesday, April 24, 2013

Baadhi ya rangi za nje ambazo unaweza kuzipata hapa Homez Deco....Rangi za Dulux Karibuni


Ukiangalia nyumba hizi naamini hautaweza kukosa rangi unayoipenda ama hata jinsi ya kutumia rangi zaidi ya moja kwenye nyumba yako ama ofisi kwa upande wa nje.....Ule wakati wa kupaka nyumba rangi moja pekee umepitwa na wakati.......tumia rangi zaidi kwa muonekano mzuri, rangi zilizopooza.....Tuna catalogue yenye sample za rangi 3200....kwa hapa kuwezi kukosa hata kama ukija na sample yako itatengenezwa kulingana na upendavyo......

Baadhi ya nyumba ambazo tunaziona zumetumia rangi ambazo zimepooza na zikapendeza pia.......
Kwa mahitaji ya rangi za dulux wasiliana nasi, rangi hizi zinabana matumizi na zinadumu ukutani bila kupauka kwa muda wa miaka 8 tangu umepaka......
2 comments:

  1. hizi rangi ndio nilizokuwa nazitaka kwa kuta za nje somo zuri sana,ahsanteni sana nitawatembelea very soon kwa ushauri zaidi pamoja na kujipatia rangi nitakazo pendelea zaidi.

    ReplyDelete
  2. mpz je bei zako zinakuaje, nataka kubadilisha rangi za ndani kwangu, Zilizopo nimezichoka nikiingia ndani naisi kizungu zungu, please just give me a rough idear

    ReplyDelete