Sunday, April 7, 2013

Sio wallpaper, ni urembo wa ukutani.......

 Nilikwenda kwenye nyumba moja hivii huko mbezi ya kimara kupima curtain rods........na nikakutana na hii decoration ya ukutani......hii ni aina rangi ambayo inapakwa kwa kutumia spongi maalumu, na ina rangi yake maalumu kwa urembo huu kutokea.......imependeza kwa kweli....Hapa alitumia brown kwenye korido ya kuingilia ndani......
 Na kwenye korido alitumia nyeupe.....

Hivi ndio inavyoonekana kwa karibu.......

Asante mteja wangu kwa kunielekeza ni wapi urembo huu unapatinaka.......nitawatembelea na nitawaletea humu humu na maelezo yoteee........No comments:

Post a Comment