Monday, April 15, 2013

Gardening: UJUMLA KIBIHASHARA, MAKAZI YA WATU MAOFSINI NA SEHEMU NYINGINEZO       Hata sehemu za bihashara,   zinatakiwa kuwa na mpangilio mzuri usafi, huu ndiyo mpangilio wa wenzetu, ktk dealership  zao nilivutiwa sana,  na mpangilio huo, hata  DAR   Inawezekana wenye sehemu   za bihashara mbalimbali wakaweka  mpangilio mzuri wa kuvutia.na sila zima uwe na eneo kubwa ndiyo uwe msafi la asha hata eneo dogo linaweza kuvutia nakuwa safi.


No comments:

Post a Comment