Wednesday, March 6, 2013

Nyumba Iliyopakwa rangi za Dulux, Ndani na nje.... Nyumba ni mpya.... Hii ni nyumba iliyopakwa rangi za Dulux....tulitumia rangi kwenye ukuta wa nje inaitwa Mohawk Valley litres 25, na kwenye hizo balcon zote mbili na kona za kwenye nyumba, rangi inaitwa Beige Sand Litres 10 ndio iliyotumika....
 Hili ni sink la nje na bafu la nje ambalo tumetumia rangi ya Mohawk Valley litres 5...
 Ukuta huu wa nje
 Ukuta wote huu kuzunguka nyumba tumetumia rangi ya Beige Sand ndoo 4. (kila ndoo ni litres 20)
 Nyumba hii ina vyumba 3 vya kulala, jiko, public toilet, dinning, sitting room, na corridor kama inavyoonekana....Nyumba hii yote rangi za ndani ilitumia ndoo 3 ambayo ni litres 60.. za rangi.....Silk, wash 'n' ware
 Ukuta wa nje....kama unavyoonekana...

Nyumba kwa upande wa ubavuni.....


Tunakushuru mteja wetu kwa kutumia rangi zetu za Dulux, na wewe mweyewe umejionea matumizi yake ya rangi kua yanakwenda kidogo.

NB:
Kwa kutumia rangi za Dulux, huwezi kugombana na fundi rangi, kua amekuibia ama etc......Rangi unatumiakidogo, nani nzuri zina muonekano mzuri......

Tunawakaribisha wadau wetu wote mje kutumia rangi hizi na muone mabadiliko ya utumiaji wa rangi hizi.....

Tuwasiliane kwa email ama simu muda wowote......

Karibuni......

2 comments:

  1. samahani mamii kazi nzuri rangi nzuri naomba ututajie bei ndoo tatu ni shilingi ngapi kwa wale ambao tuna life lakujipanga kwanaza ndo tufanye kitu naomba kujua shilingi ngapi naomba unijibu tafadhali asante snaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  2. MPENDA MAMBO MAZURIApril 14, 2013 at 8:16 PM

    hizo rangi zinauzwa kutokana na base ulizozichagua sasa ukichangua darker shade yan iliyokolea bei yake nayo huwa juu and vise versa..mimi nilinunua sikumbuki jina lakini ndoo ilikuwa kama laki mbili na sabini hiv VAT inclusive

    ReplyDelete