Friday, March 8, 2013

Nyumba ingine iliyotumia rangi hizi za Dulux - (Homez Deco - Dealer of Dulux Paints)


 Nyumba kwa mbele....nyumba bado ni mpya, haijahamiwa....na ndio maana unaona mabox etc.....ndio iko katika hatua za mwisho mwisho ya maandalizi ya kumalizia finnishing ya nyumba........
 Nyumba kwa pembeni.....Nyumba hii imetumia ndoo 3 za rangi nje ya nyumba ambazo ni weather guard Dulux...

 Nyumba kwa nyuma
 Nyumba ndani, sitting room & dinning room.....
 Sitting room, Dinning, corridor ziko 2 na Library, Vyumbani ambapo nyumba hii ina vyumba 4 vya kulala. Tumetumia ndoo 4 ukutani, na cyling board nyumba nzima imetumia ndoo 2  za rangi za dulux....
 Hiyo hapo kwenye box ndio Kitchen hood, bado haijafungwa....
 Hapa ni jikoni.....nilipenda makabati yake nikamuomba tuweze kuona,

Hapo juu ndio sehemu ya kuweka Kitchen Hood,........

Jiko hili nilimuuliza mteja wangu huyu, kua ametengenezewa na nani? akasema kua ametengenezewa na Spanish Tiles. duka hilo liko hapo Victoria, kama unawenda mwenge ni kulia kwako.......


Kwa upande wa rangi, mteja alichagua na nikatoa msaada kidogo.......unajua kwa upande wa decor, hua ninasikiliza sana mteja anapenda nini, na anataka nini, na hua simfanyii mtu decoration ya namna yoyote ile kwa jinsi mimi ninavyopenda. maana kama ni kwenye nyumba mimi sikai humu.....

Sasa hua ninafanya kazi zangu kulingana na mteja anavyopendekeza, na ndio msaada ninatoa hapo, na kazi inafanyika.......na mwisho wa siku wote mnakua na furaha, na kazi inatokea kua nzuri......

Homez Deco tutaendelea kuwaletea kila kazi ya rangi zinazopigwa kwenye nyumba zetu.......na ndio kwanza tumeanza, tutaendelea kupata rangi tofauti tofauti kadri siku zinavyosogea...maana kila mtu ana chaguo la rangi za kupaka kwenye nyumba yake....

NB:
Ukinunua rangi kwetu, unaweza ukatumia mafundi rangi wa kwako, ama mafundi rangi wetu....chaguo ni la kwako......

Happy Women's Day.......2 comments:

  1. hata mimi nimetumia rangi ya dulux ila nje tuu nimetumia lita 30..am loving the color balaa natamani na ndani ningepaka dulux,,,

    ReplyDelete
  2. ndoo 3 tu nyumba kubwa ivo? mbona nitakutafuta best na arusha uwa mnafika?na rangi izo zinadumu muda gani

    ReplyDelete