Tuesday, March 26, 2013

Baadhi ya maeneo ambayo Mr. Joe & Mrs Jossyanne - waliyofanyia kazi - USA Unaweza kuitumia hii mbolea ya mulch  kwenye mimea,   maua,  majani, kabla haujapanda, au baada ya kupanda, lazima  gardens ziwe maintained , mara kwa mara,  kama mnavyoona hapo,   kwenye picha  tunaweka mbolea kwenye miti,  ambayo mbolea ya mwanzo iliyowekwa ilishapotea aridhini ,   ili miti , maua au majani yamee vizuri yanahitaji,  mbolea ya kutosha. pia unaweza kutumia hii mbolea kwa  mambo mengi, tu yanayohusiana na bustani, za kila aina.   Ingekuwa vizuri   nchini  kwetu  tungeweza kuwa na   viwanda vidogo  vidogo ambavyo  vingeweza kuzalisha, mbolea ya  aina hii maana    mali gafi tunazo  za kutosha na  pia ingezesadia, vijana  kupata ajira.

No comments:

Post a Comment